• Breaking News

    Mganga wa Kienyeji Kudaiwa Kumbaka Mtoto? Imetokea Bagamoyo




    Imetokea August 9, 2017  Bagamoyo ambapo mganga mmoja wa kienyeji anadaiwa kumbaka mtoto wa kike ambaye ni mwanafunzi wa Darasa la Sita.

    Inadaiwa mtoto huyo kila alipofanyiwa hivyo alimwambia mwalimu wake kuwa kuna mtu anaitwa Juma anamfanyia michezo ambayo imekuwa ikimuumiza hivyo walimu walimuita mzazi wake na kumueleza mchezo aliokuwa anafanyiwa mwanawe.

    Baada ya kuelezwa hivyo mzazi huyo alimpeleka mtoto Hospital amabapo ilithibitika kuwa alikuwa anabakwa hivyo alitoa taarifa Polisi ambao walimkamata mganga huyo.

    PAKUA HAPA APPLICATION YA                            NYALUSIBLOG

         AU DOWNLOAD HAPA

    No comments