KISUTU, DAR: Serikali imetaifisha magari matatu kati ya 7 yaliyokutwa na Rais Magufuli kwenye makontena, alipofanya ziara bandarini.
- Hatua hiyo imefikiwa baada ya kubainika kuwa magari hayo hayakuwa na nyaraka stahiki, Mahakama imeamuru washtakiwa wawili walipe faini.
No comments