Watu kadhaa wajeruhiwa kwa kudungwa kisu Finland
Taarifa za hivi punde zafahamisha kwamba watu kadhaa wajeruhiwa baada ya kudungwa na kisu katika mji wa Turku nchini Finland .
Polisi nchini humo wamempiga risasi mwanamume aliyewadunga kisu watu maeneo ya duka la Puutori.
Polisi wameripoti kupitia Twitter kwamba operesheni za kiusalama zimeanzishwa katika mji huo .
No comments